Bidhaa Mpya
NUNUA BIDHAA KUTOKA KWA WAUZAJI WAKUAMINIKA
Da mage
dar es salaam
Auction
mbeya
Ally honey and food products
arusha
RAM-AFROBEAUTY (WEMON HANDBAGS)
dar es salaam
Kariakoo Center Store 
dar es salaam
Forever company
dar es salaam
pancho gypsum decor
dar es salaam
UNGAMANGE
dar es salaam
Nakaza Shop
dar es salaam
Ombeni stores
dar es salaam
Kariakoo Eletronics and spare 
dar es salaam
Ingia Kwenye Akaunti
Ingia katika akaunti yako kwa muonekano bora Kama huna akaunti fungua hapa.
Ofisi zetu
Ofisi za Odaamart zinapatikana miji karibu yote Tanzania. Ofisi hizi hutumika kukabidhi na kupokelea bidhaa zilizonunuliwa kwa usalama wa mteja na uhakika wa malipo kwa muuzaji .Kwa taarifa zaidi angalia hapa.
HUDUMA ZETU
Odaamart inakupatia huduma zifuatazo kwa usalama, urahisi na haraka nchi nzima.

Kuangalia bidhaa na bei zake Katika Maduka mbalimbali nchini.
Kupitia Odaamart unaweza kuangalia bidhaa mbalimbali na bei zake zinazouzwa Tanzania kwenye maduka yanayoaminika ukiwa nyumbani kwako kwa kupitia simu, tablet au kompyuta yako.
Odaamart itakuwezesha kununua bidhaa hizo na itasimamia usafirishaji na upokeaji wa mzigo wako kupitia ofisi zetu. Hivyo kupitia Odaamart unanunua bidhaa yoyote toka mahali popote Tanzania na kuipokea ulipo kwa usalama wa aslimia 100%. USICHELEWE Fungua akaunti yako sasa uweze kupata huduma hii ya kipekee nchini.

Manunuzi Ya Mtandaoni
Fanya manunuzi yako mtandaoni kwa usalama ,urahisi na haraka zaidi kupitia Odaamart.
Odaamart inakurahisishia manunuzi ya mtandaoni kwa usalama ,urahisi na haraka zaidi. Usalama wa Odaamart upo katika kukuunganisha wewe mteja na maduka yanayoamika Tanzania na kusimamia usalama wa pesa zako na bidhaa sahihi unazozitaka pamoja na kukuhakikishia upokeaji wa bidhaa zako kwa wakati na usalama mkubwa. Unaponunua kwenye Odaamart , pesa yako huwa kwenye mikono salama na muuzaji hapokei pesa mpaka Odaamart ijiridhishe na bidhaa ya muuzaji kwa kuzingatia makubaliano ya awali kati ya mteja na muuzaji.

Usafirishaji Wa Mzigo.
Odaamart inakupa urahisi wa usafirishaji wa bidhaa yako wewe mteja uliye mbali na muuzaji na kupata mzigo karibu yako kwa kupitia ofisi zetu za Odaamart na mawakala wa Odaamart waliopo nchi nzima.
- Pokea mzigo kati ya masaa 24 mpaka 72.
- Mzigo wako utaupokea kwenye ofisi yetu iliyopo karibu nawe.